Baada ya Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano ya klabu Simba, Haji Manara kuonyesha kukerwa na taarifa zilizoenea kwenye mitandao kuwa kocha wake msaidizi Masoud Masoud Djuma anatarajia kuondoka ndani ya timu hiyo kwa sababu ya kutofautiana na kocha mkuu Patrick Aussems na kulishutumu gazeti la Championi kuwa ndiyo chanzo cha kuandika habari hiyo aliyoiita ya uwongo, hatimaye Mhariri wake, Saleh Ally amelitolea ufafanu jambo hilo.
Home » Without Label » Sakata la Masoud Djuma lashika kasi, Mhariri amwagia povu Manara ‘Kama atabaki Simba gazeti la Championi ndilo lililomuokoa’
Tuesday, August 28, 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

